Wakati Ujao
ni kwa
Kila mtu
Teknolojia ya Blockchain
Ndio mfumo mpya wa utunzaji wa rekodi kwa njia ya ugatuzi katika siku za baadaye
Fedha
Mali
Kitambulisho
Mikataba
Tawala

Cryptocurrency inakua

Waweza jihusisha nayo!

Iwapo wafikiria sarafu za dijitali ni za watalam wa teknolojia na fedha, utakua umekosea. Siku zijazo ni za kila mtu na Lido Nation iko hapa kukusaidia.

Cardano (ADA)

Ni jukwaa la Bockchain na sarafu za dijitali

Cardano imeundwa kutatuwa shida zinazopatikana katika mifumo mengine ya blockchain kulingana na utafiti wa uhakiki Ni yenye usalama wakipekee, yafanya kazi kwa haraka, na uwezo wa kubadilishwa kwa ukubwa au kiwango ili kushugulikia ukuaji.

Endelea kusoma

LIDO Nation

ni aina ya 'CARDANO STAKING POOL'

Jifunze jinsi ya kununua ADA na kukuza uwekezaji wako

Kitambulisho ya 'pool' yetu ni: LIDO

LIDO Nation White Logo

Staking Pools

Staked tokens hupata faida

Watumizi wa Cardano wanavyo ongezeka ndivyo sarafu ambazo ziko staked huongezeka kwa thamani na pia hupata faida ya asilimia tano (5%) ya mavuno ya asilimia ya kila mwaka ambayo ulipwa na kujumulishwa kila wiki

Endelea kusoma

Jamii yetu

Asilimia nne (4%) ya faida zote uwekezwa tena katika "pool" yetu ili kuistawisha na kustawisha washiriki wetu pamoja na azma unazozijali

Unaweza kuteua na kupigia kura shirika la hisani upendelealo, kuchangia mada, na kuungana na washirika kwenye ukurasa wetu wa jumuiya.

From our library

Habari, ufahamu, na rasilimali katika sanduku lako la barua pepe.

News, insights, and resources in your inbox.

What is DeFi?

DeFi (Decentralized Finance) refers to peer-to-peer financial instruments built on a blockchain network. Blockchain networks like Bitcoin and Cardano introduced cryptocurrency, which challenged and changed our ideas about money. Now we are venturing into the next chapter of blockchain - questioning the role of institutions like Visa, Paypal, or Wells Fargo. DeFi seeks to migrate financial…

DeFi (Decentralized Finance)

DeFi refers to all the monetary functions and applications that use blockchain technology. This includes digital money itself, like…

Decentralization simply means there is no central source of truth or power - and conversely, no single point of weakness.

In a…

In a Christmas Eve YouTube chat, Cardano founder Charles Hoskinson reflected on the achievements and challenges of 2021, and looked ahead to…

The third pillar of a third generation blockchain - and probably the most important - is sustainability.

The concept of sustainability can…

  • The Yoroi wallet provides a simple newcomer-friendly interface for Cardano ADA holders to receive and send ADA and NFTs, vote, and…

The wheel - The steam engine - The internet - Blockchain. Disruptive technologies turn the page in our collective history book. Together,…

There is not going to be one blockchain currency to rule them all. There are going to be many networks - like…

Hopefully you’ve heard of Project Catalyst, an experiment that is owned and run by the Cardano community. It is funded by the…

**In Part 1, we learned that the 3rd Generation of cryptocurrency is about solving the problems of Scalability, Interoperability, and Sustainability. In…

On Nov 11, during the weekly Cardano town hall meeting, Charles Hoskinson announced the kickoff of Project Catalyst Fund 7. I counted…

Whiteboard Video Part 1: The Evolution of Cryptocurrency

To understand Cardano, first you have to understand where Cardano came from. So…