Nothing came up for

Je, Cardano ni nini?

what-is-cardano-lido-nation

Katika miaka ya 1700 injini ya mvuke illiwezesha mapinduzi ya viwanda. Ilipofika mwaka wa 1983, mtandao uliwezesha mapinduzi ya habari. Uvumbuzi huu uliunda kiasi kikubwa cha utajiri mpya, kwa watu wapya. Hii ililazimisha jamii kubadili jinsi tunavyoishi na kutawala. Hata hivyo, furaha au taabu ya mtoto aliyezaliwa leo bado inaamuliwa na serikali na jamii ambalo amezaliwa. Cardano ni teknolojia mpya ambayo inataka kutumia blockchain kubadilisha haya.

Pesa
Cardano ina sarafu ya dijitali inayoitwa ADA. Unaweza kutumia ADA panapokubalika kununua chakula na huduma. Unaweza pia kuuza ADA kwa sarafu ya nchi, jinsi unaweza kubadilisha Dola za Amerika kwa Euro. Moja wapo ya njia ADA inafanya kazi vizuri kuliko sarafu za jadi ni kwakua ni rahisi, haraka, na bei rahisi kuituma pahali popote ulimwenguni. Ina urahisi wakupatikana na salama, ili hata maeneo ya ulimwengu yasiyo na benki yanaweza kuitumia.

Mikataba
Kwanini usimamie kwa pesa? Unaweza kutuma pia vitu vingine vyenye thamani. Kwa mfano, vyeti vya umiliki wa nyumba au gari. Vitu kwenye blockchain ni vya kudumu na haviwezi kubadilishwa.Kwa hivyo, hakuna mtu anayeweza kuhonga mfanyakazi wa serikali kukuibia nyumba yako.

kitambulisho na Rekodi Kitambulisho chako hakiwezi tumika uendapo nchi mpya, au hata jimbo jipya. Cardano hutumia Blockchain kuhifadhi kitambulisho chako. Na kwa sababu blockchain ni ya ulimwengu, kitambulisho chako na rekodi zako za kibinafsi zinapatikana kila uendako.

Fikiria ulimwengu ambao leseni hiyo hiyo ya dereva inayokufanyia kazi huko Texas, pia inafanya kazi nchini Sierra Leone. Na vivyo hivyo kwa mafanikio ya kielimu, sifa za kitaaluma, na rekodi za matibabu.

Serikali
Cardano inataka kubadilisha jinsi tunavyounda, kushirikiana, na kuwajibisha serikali. Cardano kwa sasa ndio teknolojia ya blockchain yakipikee inayojaribu kufanya hivyo. Tukiwa na blockchain na Cardano, tunaweza kuunda demokrasia ya kweli. Fikiria nchi ambayo raia yeyote anaweza kuunda ajenda kwenye blockchain. Basi kila raia anaweza kupiga kura, kwa usalama kamili. Fikiria siku za usoni ambapo siasa mbaya na serikali mbovu lazima zibadilike, au zibadilishwe.

Cardano ulimwenguni
Zaidi ya mifano hii michache, Cardano ni tutakavyo itumia. Ni kama Windows bila Microsoft au iPhones bila Apple. Ni mali ya umma, kama mtandao, au mawimbi ya redio. Tofauti ni kwamba na Cardano, kila mtu anaweza kuchangia jinsi mfumo unavyofanya kazi.

Ugiriki inaendesha jaribio la kuhifadhi diploma zao kwenye blockchain ya Cardano.

Ethiopia inazindua mfumo mpya wa majaribio uliojengwa kwenye Cardano kwa raia wake milioni 5.

Unaweza kushawishi mwanafunzi wako au serikali ya mtaa kuhamisha utunzaji wa rekodi kwa Cardano. Unaweza kutumia ujenzi wa kuvuta na kuacha kuunda escrows, swaps, vifungo, na mikataba ya kifedha bila ujuzi wa kuandika sheria za Kompyuta!

Kadiri mambo mengi yanavyohamia kwenye mtandao wa Cardano, ndivyo udhibiti na uhuru zaidi tunavyopata kwa watu wote.

Cardano ni mfumo mpya wa ulimwengu wa kifedha, kitambulisho, na utawala. Cardano ina sarafu inayoitwa ADA. Kwa kununua na kushikilia ADA, unaweza kushiriki katika jinsi Cardano inakua na kubadilika. Cardano ni shirika salama zaidi, na wenye uwazi wa umma ambao umewahi kuundwa.

avatar

I believe it’s important to understand the evolution of the crypto world to really grasp the magnitude of potential in Cardano! This article paints the picture perfectly!

😍 2
avatar
avatar

I just love it. I love the idea, I love the system and how it functions. It feels good to actually know my money will be monitored by a softer ware instead of relying on humans. It takes the blame game from mankind and just put it on a computer. Like I love it and can’t wait for everything to just fall in place.

💯 1
avatar

Great idea right! The beauty of this that once we figure out how to do for most of not all of our monies, we can do it for all sorts of other things that need tracking while keeping us fully in charge. Medical records, school attainment records, voting records, just to name a few. Actually Cardano is actively working on doing exactly this for both school attainment and voting records.

That we don’t have trust easily corruptible people allows us all to be our better angels. If none can be bribed or threatened to handover your private information because only you hold the key to unlock it, everyone will sleep better at night and grow into their very best selves!

avatar
avatar

I think so many can relate to this idea of things being easily transferable and creating a simpler way to live and do life. From what it sounds like, this idea would be a big step forward to simplifying some of the too complicated systems we have in place and create more opportunity and positive change.

avatar

Thanks for your comment Rhea. “Opportunity” for positive change can’t be stressed enough. All of this streamlining will magnify not just democratic systems but also socialist, autocracies, and everything in between. It’s important that everyone understands blockchain technology so we can all help create systems that works for all.

avatar
avatar

This seems like an amazing idea! It would be so amazing to have a storehouse for all your priceless information that can transfer globally! My question - how can this be made totally secure?

avatar

That’s what cardano takes care of. It’s radical technology.

avatar
avatar

The Cardano Blockchain and ADA are both great tools. Often, what is missing is how that is translated to a broad audience––this article does that so well. It is concise and easily readable. No knowledge of blockchain is needed. Thank you for writing this; I’ll be sure to send it to plenty of people I talk to about Cardano!

avatar
avatar
I LOVE CARDANO
avatar
avatar
You can use Markdown

Join our pool!

Unmatched Support

We provide phone and email support for all of our delegates. We understand that many of our community members are not tech or crypto nerds. You expect the same level of service and support you get from Reggie down at the bank or Saiid, your nephew or friend at the office that won't stop talking about Bitcoin.

We host weekly meetups (currently online due to Covid).Visit our connect page for all the ways you can reach us. page for all the ways you can reach us.

Best in class servers

Our servers are run and managed by professionals whose only job is to manage and run servers 24/7 365/6 days a year.

We run our Cardano nodes on the same servers powering other services you've come to rely on everyday, like Google and Pokemon Go.

What this means for you is that our servers are always online and available to process transactions, earning you and the causes we support the optimal amount of $$$$. Visit our pool page for more technical details.

#4% for community development and investment

Of all the rewards that come in, we keep 4% annually. All 4% goes towards charities you pick, paying LIDO nation community members like yourself to write code and content for the site, and grants for local community educational projects.

See our financials page for full records of our spending, more details, and breakdowns.

An Amazing Community

When you delegate and join LIDO Nation, you get to participate in creating a space for people to interact, meet, learn, and teach each other. You get to be part of the engine that works to make every voice heard with equal importance.

LIDO Nation is an idea. Delegate, take it and lets make something great!

EP1: 'd' Parameter
0:00
/
~1:00
1x