Uwekezaji wa Grayscale huongeza Cardano kwenye mtaji wake -kama mmiliki wake wa tatu kwa ukubwa.

Cardano imealikwa kwenye uwekezaji wa Grayscale. Hazina inayoongoza duniani ya usimamizi wa mali ya kidijitali hivi majuzi ilisawazisha portfolio yake, ikiuza baadhi ya mali zilizopo ili kununua Cardano. ADA sasa ni kampuni ya tatu kwa ukubwa katika hazina hiyo, baada ya Bitcoin na Ethereum ambazo ndizo kubwa zaidi

Sasa, ADA inachangia 4.26% ya portfolio ya jumla ya grayscale, ambayo ni zaidi ya mara 4 katika Altcoin (sarafu mbadala)nyingine yoyote. Kufuatia tangazo la kusisimua kwenye Twitter, bei za Cardano zilipanda zaidi ya 6%, na hivyo kupata nafasi kama ile inayopanda zaidi katika sarafu10 bora za kidijitali wakati wa kuchapishwa kwa habari.

@Grayscale alitweet:
Karibu ndani, #Cardano. Tumerekebisha portfolio ya Grayscale Digital Large Cap Fund ili sasa ijumuishe $ADA““

Grayscale itafanya marekebisho mengine ya robo mwaka ya kwingineko mnamo Septemba, na tutavutiwa kuona kitakachojitokeza katika awamu hiyo.

Get more articles like this in your inbox

Je una swali?

Or leave comment
Share

No comments yet…

avatar
You can use Markdown
close

Playlist

  • EP2: epoch_length

    Authored by: Darlington Kofa

    d. 3 se. 24
    Darlington Kofa
  • EP1: 'd' parameter

    Authored by: Darlington Kofa

    d. 4 se. 3
    Darlington Kofa
  • EP3: key_deposit

    Authored by: Darlington Kofa

    d. 3 se. 48
    Darlington Kofa
  • EP4: epoch_no

    Authored by: Darlington Kofa

    d. 2 se. 16
    Darlington Kofa
  • EP5: max_block_size

    Authored by: Darlington Kofa

    d. 3 se. 14
    Darlington Kofa
  • EP6: pool_deposit

    Authored by: Darlington Kofa

    d. 3 se. 19
    Darlington Kofa
  • EP7: max_tx_size

    Authored by: Darlington Kofa

    d. 4 se. 59
    Darlington Kofa
0:00
/
~0:00