Nothing came up for

Kunawiri kwa utawala wa hazina maalum ya 8 ya Project catalyst

catalyst-fund-8-dates

Siku ya Alhamisi Machi 17, Hazina maalum ya 8 ya project catalyst ya cardano ilistawi. Maelfu ya mapendekezo yamewasilishwa, Kuboreshwa, na Kukamilika. Sasa awamu ya "Utawala" imeanza, kuanzia Tathmini na kumalizika mwezi ujao kwa Upigaji Kura. Yote yakiisha, tutakuwa tumeshuhudia awamu kubwa ya ufadhili kufikia sasa: bajeti ya $12.8M (dolla millioni kumi na mbili nukta nane) ni MARA mbili ya ile ya awamu iliyopita. Kiasi hiki kitafadhili mamia ya miradi ya Cardano kwa wapendekezaji wapya na wanaorejea.

Ikiwa ungependa kuhifadhi makala na kusoma zaidi kuhusu project catalyst, tumeandika kuihusu hapa kwenye tovuti; tazama viungo chini ya makala.

Endelea kusoma hapa kwa kitakachofuata katika hazina ya 8, na jinsi unavyoweza kushiriki!

Tathmini

"Kuanzia Machi 17 hadi 24, mtu yeyote anaweza kujiandikisha ili kukagua mapendekezo na kuyakadiria kwenye mfumo wa nyota 5. Utafidiwa kwa ukaguzi nzuri: Washauri wa Jamii wanaopitia mapendekezo 7 hadi 10 wameripoti kupata ADA 500 hadi 1200 kwa raundi za ufadhili zilizopita!

Tathmini hukaguliwa kwa Uhakikisho wa Ubora. Wakati mchakato huo utakapokamilika, mapendekezo yote yanaenda kwa Programu ya Kupiga Kura ya catalyst - inayopatikana kwenye iOS na Android."

Kupiga kura

Wapiga kura wana hadi Aprili 7 kusajili pochi lao la Cardano ili kupiga kura. Upigaji kura utaanza tarehe 14 Aprili na kumalizika Aprili 28. Mtu yeyote aliye na angalau ADA 500 anaweza kujiandikisha na kupiga kura. Upigaji kura ni mwisho wake wenyewe - inafurahisha, ina maana, na inafaa - lakini kile ambacho kila mtu anapenda sana ni kulipwa: Je, unajua unalipwa ili kupiga kura? Sio nyingi, lakini hakika unapaswa kujaribu, na ufurahie kuona zawadi hiyo ndogo ya ziada kwenye pochi lako.

Ufadhili

Kwa mapendekezo yaliyoshinda, usambazaji wa ufadhili umepangwa kuanza Mei 5 hadi 12. Daima ni wakati wa kufurahisha kwani miradi mingi mipya itakuwa inaanza. Ukubwa na uzani wa miradi hiyo itakuwa zaidi ya hapo awali wakati huu.

"Siku ya Utawala": Tukio la saa 24 la TwitterSpace! Kwa mara ya pili, kwa ushirikiano na ADA Cafe, wafanyakazi wa Lido Nation watakuwa wakiandaaTwitter Space za saa 24 katika siku ya mwisho ya upigaji kura wa catalyst. Ikiwa ni mpya kwako, Twitter Spaces ni muundo mpya unaotegemea sauti katika programu ya Twitter. Unaweza kusikiliza Twitter Space kama vile ungefanya kipindi chako cha redio unachokipenda au podikasti - au unaweza kubonyeza kitufe ili kuuliza swali au kujiunga na mazungumzo. Kuanzia Aprili 27, saa nane mchana, wenyeji wote uwapendao wa Twitter Space ya ADA Cafe wataongoza sehemu tofauti na kuwezesha mijadala mbalimbali ya catalyst na Utawala wa Blockchain. Nafasi Zingine ambazo tayari zimeratibiwa katika saa hizo 24 zitachukuliwa na twitter space hizo!

Tukio hili lilianza katika awamu iliyopita - hazina maalum ya 7 ya catalyst - na lilipokelewa vyema na jamii. Tunairejesha tena kwa vile Utawala ni mchakato unaoendelea, unaohudumiwa vyema na mijadala mingi na usikilizaji makini.

ADA Cafe ni juhudi ya kuunganisha "watu na mawazo yanayolenga kuharakisha ukuaji wa kupitishwa kwa Cardano, uvumbuzi na thamani" kwa kudhibiti Twitter Spaces za kidijitali na kusaidia wenyeji na waundaji wa nafasi hizo. Waangalie kwenye viungo! Ili kujiunga nasi kwa sehemu yoyote ya Saa 24 za Twitter Spaces fuata @lidonation na @TheADAcafe kwenye twitter ili upate arifa tutakapoenda moja kwa moja. Nafasi pia itaratibiwa siku chache mapema ili uweze kuweka kikumbusho kwenye simu yako.

Get more articles like this in your inbox

Ni mada gani ungependa kuona ikijadiliwa wakati wa Uchukuaji wa Utawala wa nafasi ya twitter?

Leave a comment
Share

No comments yet…

avatar
You can use Markdown

Join our pool!

Unmatched Support
We provide phone and email support for all of our delegates. We understand that many of our community members are not tech or crypto nerds. You expect the same level of service and support you get from Reggie down at the bank or Saiid, your nephew or friend at the office that won't stop talking about Bitcoin. We host weekly meetups (currently online due to Covid). Visit our connect page for all the ways you can reach us.
Best in class servers
Our servers are run and managed by professionals whose only job is to manage and run servers 24/7 365/6 days a year. We run our Cardano nodes on the same servers powering other services you've come to rely on everyday, like Google and Pokemon Go. What this means for you is that our servers are always online and available to process transactions, earning you and the causes we support the optimal amount of $$$$. Visit our pool page for more technical details.
4% for community development and investment
Off all the rewards that come in, we keep 4% annually. All 4% goes towards charities you pick, paying LIDO nation community members like yourself to write code and content for the site, and grants for local community educational projects. See our financials page for full records of our spending, more details, and breakdowns.
An Amazing Community
When you delegate and join LIDO Nation, you get to participate in creating a space for people to interact, meet, learn, and teach each other. You get to be part of the engine that works to make every voice heard with equal importance. LIDO Nation is an idea. Delegate, take it and lets make something great!